AyoTV

AyoTV: Maneno ya Irene Uwoya kwa Wasanii walioshindwa Ubunge 2015.

on

IreneIrene Uwoya ni mwigizaji kutoka bongomovie Tanzania na amekua miongoni mwa Wanawake watano wanaotajwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza Tanzania, mwaka huu 2015 ameingia kwa mara ya kwanza kwenye siasa na kupita kwenye Ubunge wa viti maalum, bonyeza play umtazame kwenye hii video hapa chini.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments