Tulimfahamu kwa uzito baada ya kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big brother Africa na hukohuko ndio akampata boyfriend mpya raia wa Botswana, mengine yote yaliyobaki yako kwenye hii video hapa chini baada ya kuhojiwa.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos