fB insta twitter

Ilikupita? Mchekeshaji Kansiime wa Uganda alivyomtaja Rais Magufuli kwenye post Facebook

on

Kazi aliyoifanya Rais Magufuli toka ameingia madarakani kwenye hizi siku chache imegonga kwenye headlines za nchi nyingi ikiwemo Uganda ambako mchekeshaji wake Kansiime ambaye tunamtazama sana kwenye video za YouTube na Whatsapp, December 13 2015 kwenye page yake ya Facebook alijikuta akimtaja.

Kwenye moja ya mistari yake aliandika ‘kabla Magufuli hajaiahirisha (akimaanisha kuahirisha siku ya Xmas), napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Xmas njema na heri ya mwaka mpya

Kansiime

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments