Usiku wa May 28 2016 mtu wangu wa nguvu ni siku rasmi ambayo wasanii wa Bonfleva G Nako, Quick Rocka na Jux waliamua kufanya uzinduzi wa video ya ngoma yao waliofanya pamoja ‘Hapo’ uzinduzi ulifanyika Azura Beach kwa mastaa hao kufanya performance. Kama ulikosa time ya kwenda kuangalia uzinduzi huo, video ipo hapa mtu wangu
KAMA ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE