AyoTV

Video: Mastaa wa Bongo walivyoiandaa hii party kwaajili ya Paul Makonda

on

March 13 2016 Rais John Pombe Magufuli aliwateuwa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania na baadhi ya wakuu hao ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, March 15 mastaa wa bongo  wameandaa party ya kumpongeza Paul Makonda kwa kuteuliuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.

Ilikupita hii Video ya Nyingine mpya ya Makonda, Milioni moja kwa Polisi?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments