AyoTV

EXCLUSIVE: Mtanzania Farid Musa amekwenda Hispania kwa soka la majaribio… taarifa za awali ziko hapa

on

Baada ya headlines za muda mrefu kumuhusisha winga mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Azam FC  Farid Musa kuandikwa kuwa huenda akaenda kufanya majaribio katika klabu za Ubelgiji na mpango huo kuyayeyuka, zimeibuka headlines mpya kuhusu mchezaji huyo.

Kwa sasa Farid Musa amethibitisha anakwenda nchini Hispania April 22 2016 kufanya majaribio ya mwezi mzima katika club mbili zinazocheza ligi kuu ya Hispania >>> ” Ni kweli naenda kufanya majaribio Hispania katika klabu mbili tofauti zinazoshiriki Laliga, siwezi kutaja ni klabu gani naenda kujiunga nazo kwa majaribio ila majaribio yangu ni ya mwezi mmoja, kuhusu mkataba na Puma ndio ninao mkataba wa awali lakini siwezi kuzungumzia zaidi” 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

KAMA ULIKOSA VIDEO YA MAGOLI YA MECHI YA KWANZA YA AZAM FC VS ESPERANCE APRIL 10 2016, FULL TIME 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments