AyoTV

Dakika 5 za Rais Magufuli akiwajibu wanaosema anawanyanyasa kutumbua majipu hadharani

on

April 21 Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amezungumzia kuhusu habari zilizokuwa zinaongelewa kuwa anakosea kutumbua majipu hadharani, habari hizo zimekuja siku chache baada ya Rais Magufuli kutangaza hadhari kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam Wilson Kabwe.

“Wapo wengine wanalalamika wanasema tunawanyanyasa sio haki za binadamu kwa sababu tunawatangaza hadharani, kwa hiyo wao walikuwa wana haki ya kuwaibia hadharani watanzania, waliwaibia watanzania hadharani na lazima tuwatangaze hadharani, mateso waliowapa watanzania mamilioni kwa kuwaibia wacha na wao wayapate” >>> Rais Magufuli

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

MAFURIKO NA FOLENI SASA MWISHO KINONDONI

Soma na hizi

Tupia Comments