Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu amezungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Mbeya na kuungana na Wana-CCM kuwapongeza wadau wa maendeleo akiwemo Mkurugenzi wa Shule ya St. Patrick Ndelle Mwaselela.
“Nyinyi kama sehemu ya Viongozi wa CCM mnafanya kazi nzuri ya kuking’arisha Chama cha Mapinduzi Mkoani Mbeya hata kwa kuvaa tshirt ya CCM mnaeneza, msichoke kufanya kazi hii sababu bila nyinyi hatuwezi kuvuka” -Dr. Tulia