Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Ushindi wa Senegal dhidi ya Zimbabwe unawapeleka robo fainali ya AFCON 2017
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > VIDEO: Ushindi wa Senegal dhidi ya Zimbabwe unawapeleka robo fainali ya AFCON 2017
Sports

VIDEO: Ushindi wa Senegal dhidi ya Zimbabwe unawapeleka robo fainali ya AFCON 2017

January 20, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya jioni ya January 19 2017 kushuhudia mchezo wa kwanza wa Kundi B kwa January 19 katika uwanja wa Franceville ukizikutanisha timu za Tunisia dhidi ya Algeria na kushuhudia Tunisia wakipata ushindi wa goli 2-1, usiku wake ilikuw zamu ya Senegal kucheza dhidi ya  Zimbabwe katika uwanja huo.

Mchezo wa pili wa kati ya Senegal dhidi ya Zimbabwe umedhihirisha safari ya Senegal kuingia moja kwa moja hatua ya robo fainali, hiyo ni baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Zimbabwe, magoli ambayo yalifungwa na Sadio Mane dakika ya 9 na Henri Saivet aliyefunga goli dakika ya 14 kwa mpira wa adhabu ndogo.

Ushindi huo umeifanya Senegal kutinga hatua ya robo fainali kwa kufikisha jumla ya point sita huku wakisalia na mchezo mmoja, Senegal anaongoza Kundi B kwa kuwa na point 6, wakifuatiwa na Tunisia wenye point tatu, Algeria na Zimbabwe wakiwa nafasi ya tatu na nne kwa kuwa na point moja moja kila mmoja huku wakiwa wamepishana magoli yakufunga na kufungwa.

https://youtu.be/p01keyg6K8w

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

You Might Also Like

Pochettino Kocha Mpya Chelsea

Mario Balotelli atabiri fainali ya Man City vs Inter Milan juni 10

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

Picha: Yanayojiri kwa Benjamini Mkapa, mashabiki wafurika nje kushuhudia mechi ya Yanga SC dhidi ya USM Alger

Live: Ali Kamwe aongoza Shangwe la Fainali Mbagala Zakheim, Tazama kinachoendelea muda huu

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA January 20, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Gambia bado kwa moto, Adama Barrow kaapishiwa Urais akiwa nje ya nchi (+video)
Next Article VIDEO: Jionee ulipofikia ujenzi wa jengo jipya la kisasa la abiria Airport Dar ( Terminal 3)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?