AyoTV

CHADEMA kuhusu hali ya Uchumi wa nchi, imetaja vigezo vitano

on

Leo July 31, 2017 baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa siku mbili mfululizo July 29-30, 2017 katika Hotel ya Double Tree, Dar es Salaam kujadili mambo mbalimbali na kufikia maazimio na hatua za kuchukua katika ajenda zao, Chama hicho wamekutana na Wanahabari.

Miongoni mwa mambo ambayo CHADEMA wameyazungumzia ikiwa ni baada ya Kamati Kuu kukutana ni pamoja na masuala ya Uchumi ambapo Mwenyekiti Freeman Mbowe amesema vipo vigezo vingi ambavyo hutumika katika kupima Uchumi.

Aidha, Mbowe amesema umuhimu wa vigezo husika huwa na maana kutegemeana na namna vinavyoathiri maisha ya wananchi.

ULIPITWA? Sababu za CHADEMA kwa nini fedha haipatikani mifukoni…PLAY kwenye VIDEO hii kutazama!

Soma na hizi

Tupia Comments