Katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Selestine Mwesigwa leo April 15 2017 ametangaza kuitisha kikao cha dharura cha kamati ya sheria,katiba, haki na hadhi za wachezaji kwa ajili ya kupitia upya maamuzi yaliyofanywa na kamati ya saa 72 ya kuipa point tatu Simba dhidi ya Kagera Sugar.
Taarifa iliyoripotiwa kutoka kwa katibu mkuu wa TFF
Kikao cha Kamati ya Sheria,Katiba na Hadhi za Wachezaji
jm selestine <mjselestine@yahoo.co.uk>
To TPLB TPLB <tplb.tplb@yahoo.com>, Boniface Wambura <wambura70@gmail.com>
Cc Jamal Malinzi <jamalmalinzi@gmail.com>, Richard Sinamtwa <richardsinamtwa@gmail.com>
Friday, April 14, 2017 2:06 PM
Click to View Full HTML
Mtendaji Mkuu,
Bodi ya Ligi Kuu (TPLB).
Hii ni kukufahamisha kuwa kikao cha dharula cha Kamati ya Sheria,Katiba na Hadhi za Wachezaji ya TFF inategemewa kukaa siku ya Jumanne tarehe 18/04/2017 katika hoteli ya Protea Sea View saa 4 asubuhi. Unatakiwa kufika kwenye kikao na wafuatao:
1. Joel Balisidya
2. Rose Msamila
3. Michael Ngogo
3. Match officials wote wa mchezo wa ligi Kuu kati ya Kagera Sugar na African Lyon ie Match comm,centre ref,two assistants na mwamuzi wa nne.
4. Viongozi wa Kagera Sugar
Kila mmoja afike na nyaraka alizo nazo kuhusiana na mchezo huo.TFF itarudisha gharama za safari kwa wale wanaotokea nje ya Dar Es Salaam.
Wasalaam,
Mwesigwa Joas Selestine
General Secretary
Tanzania Football Federation
Mob.+255 (0)715221885 (whatsapp)/ (0)756221885
VIDEO: Simba imekubali kipigo cha nne cha VPL vs Kagera Sugar leo April 2 2017