Siku moja baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz kukiri hadharani kwa mara ya kwanza kuwa amezaa mtoto mmoja wa kiume na mrembo Hamisa Mobetto, September 20 kupitia ukurasa wake wa instagram amepost ujumbe ambao wengi wanahisi amewalenga kwa wale waliokuwa wanamuita mgumba.
VIDEO: Bonyeza PLAY kumsikiliza msanii Nini hapa chini