Usiku wa October 8, 2018 lilifanyika shindano la wapishi ambapo walikutanishwa wapishi sita kutoka nchi tofauti tofauti ili kumpata mshindi mmoja atakaye iwakilisha Afrika kwenye mashindano makubwa ya wapishi ya Dunia ambapo mchekeshaji Idris Slutan alikuwa mmoja wa majudge kwenye shindano hilo.
Sasa wakati Idris akiwa judge alipata time ya kupita kwenye vyakula walivyopika wapishi na kuonja ilikujua chakula kipi kinaladha nzuri kuliko kingine, sasa wakati Idris anaonja kamera ya Ayo TV ikabahatika kupata alivyokuwa akionja. Bonyeza PLAY hapa chini kuona
VIDEO: Kigugumizi cha Idris Sultan kuhusu Ex wake anayejua kupika “Ni Staa, mzuri ana-shape”
VIDEO: Wapishi Sita kutoka nchi tofauti walivyoshindanishwa Dar es Salaam