Habari za Mastaa

Picha hizi ndio zimehalalisha hii stori ya Lil Kim.

on

Screen Shot 2014-02-13 at 8.26.00 AMMwaka huu July Lil Kim atatimiza miaka 40 ya kuzaliwa kwake lakini wakati akisubiria hiyo miezi kutimiza 40, stori yake kubwa kwa sasa ni kuonekana kuwa mjamzito.

Japokua hajawahi kusema wala kutangaza kwenye vyombo vya habari, vyanzo tofauti vya uhakika vinaonyesha kwamba Kim ni mjamzito, hata kwa waliomuona live wameshuhudia hivyo.

Stori imetokea kwenye Fashion week ya New York City ambapo alionekana akiwa mjamzito akiwa amekaa pembeni ya Perez Hilton.

Bado haijajulikana baba mtoto wala info nyingine za ndani kuhusu huu ujauzito ila pichaz kadhaa tayari zimeshapatikana.

Screen Shot 2014-02-13 at 8.44.07 AM Screen Shot 2014-02-13 at 9.19.36 AM Screen Shot 2014-02-13 at 9.19.48 AM

Tupia Comments