Michezo

Taifa Stars 3 – 0 Uganda…. tazama mbwembwe za Stars wakishangilia (+video)

on

Goli la 3 limefungwa kwenye dakika ya 56 Agrey Moris na kukamilisha idadi ya magoli ya kuongoza hadi sasa ambapo goli la pili limefungwa na Erasto Nyoni kwenye dakika ya 50 na la kwanza limefungwa na Simon Msuva kwenye dakika ya 20, bonyeza play hapa chini kutazama Taifa Stars wakishangilia

MBWEMBWE ZA PIERRE LIQUID UWANJA WA TAIFA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

UWANJA UMEJAA, POLISI WATUMIA MABOMU KUONDOA WATU WAKATAZAME MPIRA KWENYE TV, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments