Saa kadhaa baada ya stori kutoka kwamba Msanii wa hiphop Lord Eyez anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi baada ya kuvunja gari la mtu huko Arusha, Kampuni ya Weusi imetoa tamko kuhusu member huyu.
Akiongea na millardayo.com, Msemaji wa WEUSI Nikki wa II ameithibitishia millardayo.com na AyoTV kwamba wamemwadhibu kwa kumsimamisha Lord Eyez kwenye kundi lao.
Taarifa kamili utaipata baadae kwenye AMPLIFAYA ya Clouds FM na pia hapahapa on millardayo.com na kwenye AyoTV lakini pia unaweza kuwa Mwanafamilia wa TZA kwa kujiunga na facebook.com/millardayo twitter.com/millardayo na instagram.com/millardayo ili stori yoyote isikupite hata usiku wa manane.