Kwenye XXL ya Clouds FM March 4 2014 mwimbaji Jux amekubali kwamba hii single yake mpya amemuimbia mpenzi wake ambae ni Jackie Cliff, mrembo wa Kitanzania ambae ilidaiwa amekamatwa nchini China na dawa za kulevya.
Hii ni nafasi yako kuusikiliza na pia unaweza ku-download hapa. [soundcloud soundcloudurl=”https://soundcloud.com/xxl23/jux-nitasubiri-www-millardayo” ][/soundcloud]