Unaambiwa mastaa hawa walisherehekea miaka yao sita ya ndoa huko Dominican Republic wakiwa na mtoto wao Blue Ivy, kwenye nchi hii ambayo lugha inayotumika ni Kihispania na wanasifika kwa utalii pamoja na kilimo cha Sugarcane, coffee, cotton, cacao; cattle.
Kwa mnaopenda za Jay Z na Beyonce, hizi ni picha zao 6 za sherehe za miaka 6 ya ndoa

Leave a comment
Leave a comment