Video Mpya

The Black Eyes Peas wametuletea hii video mpya wakiwa na J Balvin ‘Ritmo’

on

NI Kundi la muziki liitwalo The Black Eyed Peas linaloundwa na wasanii watatu akiwemo rappers william, apl.de.ap, and Taboo time hii wametusogezea video yao mpya ya wimbo uitwao Ritmo waliyomshirikisha J Balvin.

Unaweza ukaitazama hapa

 

 

Tupia Comments