Mtu wangu najua umeshaona wasanii au au mastaa mbalimbali wakibadilisha muonekano wa nywele zao basi hii isikupiti mtu wangu mkali kutoka Bongoflevani Diamond Platnumz kutoka Lebel ya WCB ameamua kubadilisha muonekano wake wa nywele.
ULIIKOSA HII YA ALIKIBA HAPOST SHOW ZA TOUR ZAKE IKUFIKIE HII BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA