Ni Healdines za Mama Blue Ivy Carter, Beyonce ambae ametajwa na tafiti zilizofanywa na Golden Ratio Of Beauty kuwa ndie mwanamke wa pili mwenye mvuto duniani akiungana na mwanamitindo Bella Hadid.

Katika tafiti hizo walizingatia zaidi uzuri wa umbo, Mdomo wakuvutia, pua, shingo nk.