Habari za Mastaa

Vituko vya Shilole mbele ya Shamsa “Yamemshinda siwezi kumwambia ng’ang’ana”

on

Msanii Shilole amejibu kuhusu komenti yake iliibuka mjadala Instagram baada ya kumjibu shabiki aliyetaka kufahamu kuhusu shule aliyojifunzia kingereza, ambapo Shilole alimjibu kwa kuandika ‘British cancel’ badala ya British Council.

Sasa AyoTV na millardayo.com zimempata Shilole wakati akiwa na muigizaji Shamsa Ford na kumuuliza kuhusu hilo ndipo Shishi akatoa majibu haya ikiwemo kutaja herufi za neno hilo, pia amegusia swala la kuvunjika kwa ndoa ya staa mwenzake Shamsa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

MTIKISIKO KWENYE MAPENZI YA MASTAA, ROMA, VANESSA, ALIKIBA, JE NI KWELI YAMEISHA?

Soma na hizi

Tupia Comments