Top Stories

RPC Geita kathibitisha kukamatwa kwa Mbunge Musukuma

on

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo amethibitisha kuwa Jeshi la Polisi linamshikilia Mbunge na Mwenyekiti wa CCM Geita, Joseph Musukuma baada ya kukamatwa September 17, 2017 na baadhi ya Madiwani wa Mkoa huo.

Akiongea na Ayo TV na millardayo.com Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amesema bado Mbunge Musukuma na wenzie na wanafanyiwa mahojiano juu ya kilichotokea akisema alikamatwa na Polisi sio kuwa aliripoti Kituoni kwa hiari yake kama habari zilivyosambaa.

ULIPITWA? MBUNGE MSUKUMA! Kamjibu RPC Geita baada ya Polisi kupiga mabomu wananchi

Soma na hizi

Tupia Comments