Siku ya mtoto Afrika 2014 ndio msanii Ay na aliyewahi kuwa Miss Tanzania Faraja Nyalandu walitangazwa kuwa mabalozi wa UNICEF ambao wataweka nguvu zao kwenye vita dhidi ya ubakaji/unyanyasaji kwa watoto.
Hii video hapa chini ni sehemu ya kazi yao kwenye huu ubalozi wa UNICEF.