AyoTV

VIDEO:Alietaka kuingia kwenye anga za DC Jokate ‘ Nitakuweka Ndani’

on

Ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo ambae Sept 18, 2019 amefika kwenye kijiji kilichokuwa na shamba lenye ukubwa wa hekari Elfu 20, 290 ambalo linamilikiwa na wawekezaji hewa Sunbiofules lililopita Vijiji 11 Kisarawe.

Aidha Mkuu wa wilaya ya Kisarawe DC Jokate Mwegelo baada ya kumaliza mkutano na wanakijiji hao alihitimisha na kuwaambia kwamba atamuomba Waziri Lukuvi kubatilisha umiliki wa shamba hilo.

Sasa miongoni mwa nilivyokusogezea kwenye hii video ni DC Jokate alipofika Kijiji hapo kisha mwanakijiji akataka kuingia kwenye anga na kumdanganya kwamba yeye ndio kiongozi, tazama hii video kilichotokea.

DC JOKATE KAFUNGUKA KUHUSIANA NA KAMPUNI HEWA ILIYOCHUKUA SHAMBA LA WANAKIJIJI KISARAWE

Soma na hizi

Tupia Comments