Habari za Mastaa

CloudsFM Top20: Ngoma 20 kali zilizofanya vizuri wiki hii, July 30, 2017

on

Katika dakika 120 za kuhesabu na kusikiliza ngoma 20 kali zaidi za wiki iliyosimamiwa na Mtangazaji Mumy Baby kwenye Clouds F M Top 20 leo July 30, 2017 ambapo kama ulikosa kupitia Radio, millardayo.com tayari inayo full list kuanzia Namba Moja hadi Namba Ishirini.

List ya wiki hii imeshuhudia ingizo jipya moja ambapo wimbo Eneka wa Diamond Platnumz ukiingia na kukamata nafasi ya 19. Nafasi tatu za juu zinashikiliwa na Orugambo wa Saida Karoli, nafasi ya pili inakamatwa I’m on the One wa DJ Khaled ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, & Lil Wayne wakati nafasi ya kwanza ikikamatwa na Despacito wa Luis Fonsi, Daddy Yankee ft. Justin Bieber

20 Jux – Umenikamata

19 Diamond Platnumz – ENEKA

18 Davido – If

17 Harmonize X Rich Mavoko – Show Me

16 Ray C – Unanimaliza

15 Chege & Temba ft. Emmy Wimbo – Go Down

13 Darassa – Hasara Roho

12 Lulu Diva – Utamu

11 Stereo ft Richmavoko – Mpe Habari

10 Nyashinski – Malaika

09 Bongo Bahati Mbaya – Young Dee

08 Weusi – Naliamsha Dude

07 ASLAY – ANGEKUONA

06 Nandy – Wasikudanganye

04 DJ Khaled – Wild Thoughts ft. Rihanna, Bryson Tiller

03 Saida Karoli – Orugambo 

02 DJ Khaled – I’m the One ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne

01 Luis Fonsi, Daddy Yankee – Despacito (Remix Audio) ft. Justin Bieber

Mr Nice kafunguka na kusema ‘Sijutii chochote, vitu vyote nimeshafanya’ (+Audio)

Kitu Dogo Janja na Shetta wamefanya Maisha Club 

Soma na hizi

Tupia Comments