fB insta twitter

Picha 10 za Saida Karoli alivyotua na kupokelewa Mwanza

on

Mwimbaji staa wa nyimbo za asili Saida Karoli amewasili Mwanza ambako atakuwa na show ya Kanda ya Ziwa ambapo amepokelewa vizuri na mashabiki wake waliomfuata Uwanja wa Ndege kwa msafara wa magari na bodaboda na kumsindikiza hadi katikati ya jiji.

Saida anatarajiwa show katika Uwanja wa CCM Kirumba kabla ya kuzunguka katika mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa.

ROUND 1: Kama ulimmiss Saida Karoli kwenye Stage 

Soma na hizi

Tupia Comments