Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi wawili Aika na Nahreel wameungana kwenye msimu huu wa Valentine kukipika chakula kipya ambacho kipo tayari kwa kukitazama kinaitwa ‘Roll It’, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.
GOOD NEWS: Monalisa kaja na jipya kwa wanawake wanao tayarisha filamu