Mashabiki wengi hujiuliza inakuaje kwenye upande wa Bongo Fleva mastaa wakongwe katika game hii wanashindwa kufanya collaboration wao kwa wao , ugumu unakuwa wapi?? Je ni kwamba ladha ya muziki itapungua kutokana na wao kuwa wakongwe katika muziki?
Majibu yote anayo Jay Moe kwenye Exclusive interview na Ayo Tv.
Anayedaiwa kuwa mapenzini na Wema Sepetu afunguka kwa mara ya kwanza