Maajabu

Hii video fupi imeniogopesha sana, iwafikie wote wanaokwenda mbuga za Wanyama na kujiamini ndani ya magari.

on

Simba nomaTumekua na tabia ya kujiamini sana tunapokwenda kwenye mbuga za Wanyama tukiwa ndani ya magari, hii video imenifanya nijue kumbe hata kama tuko ndani ya magari kuna hatari ya Wanyama kutudhuru kama hatuko makini.

Itazame video yenyewe kwa kubonyeza play.

Jiunge na mimi kwa kubonyeza hapa ili nikutumie kila kinachonifikia mtu wangu >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments