Video Mpya

VideoMPYA: Davido anatualika kutazama hii zawadi kwa Mama watoto wake

on

Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido amemzawadia mpenzi wake Chioma gari aina ya Porshe lenye thamani ya zaidi ya Milioni 200 za Kitanzania katika siku yake ya kuzaliwa alafu akaachia na ngoma mpya inaitwa “Assurance” kama zawadi kwa Mpenzi wake…

VIDEO: IRENE PAUL AFUNGUKA… “MASOGANGE ALINILALAMIKIA RAMMY GALIS ANAPENDA MTEREMKO”

VIDEO FUPI: HATARI !! SIMBA AMSHAMBULIA MZEE, HII USIIJARIBU HATA SEKUNDE

Soma na hizi

Tupia Comments