Taarifa iliyofika kwenye meza ya Gossip Cop leo March 17 inahusu ishu ya member wa kundi la Weusi kuzuiwa kushoot video maeneo ya Chuo ambapo ilifanya wanafunzi na watu wengi kujaa kuwazunguka kitu ambacho lecturer mmoja hakupendezwa na hali hiyo akaamrisha zoezi hilo la kushoot lisiendelee tena.
Rapper Bonta amesema system ya Tz bado haijawatambua wasanii wa muziki huo hivyo inakuwa ngumu wao kupata vibali kwa ajili ya kufanya shooting ya video yao eneo hilo la Chuo.
Bonta amesema iliwahi kumtokea pia wakati wakishoot video ya ‘Tukutane Maktaba’ ambapo aliomba kutumia eneo la Maktaba ya Mkoa lakini ikatokea hivyo hivyo, akakataliwa.
Hapa unaweza kusikiliza U Heard yote mtu wangu, bonyeza play…
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook