Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam ikiongozwa na mtu wako wa nguvu Millard Ayo.
#AMPLIFAYA #June182015 #10 Chad yapiga marufuku Wanawake kuvaa Hijab, ni baada ya shambulizi la bomu kuua 23, aliyelipua alivaa Hijab.
— millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA #June182015 #9 Msanii Nuh Mziwanda kakiri, alipata SIFURI kwenye mtihani wa kumaliza Form IV >>> ‘nilifeli sababu ya muziki’ — millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA #June182015 #8 Kama Wakimbizi wote duniani wangekusanywa waunde nchi, ingekua ya 24 kwa wingi wa watu duniani.
— millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA #June182015 #7 50 Cent akiri hakwenda kwenye Pambano la Floyd Mayweather sababu alijua Media zingemzingatia yeye kuliko Floyd. — millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA #June182015 #6 Maisha CLUB inahamia kwenye jengo la LAPF Kijitonyama, ni club itakayokuwa chini ya ardhi, itaitwa MAISHA BASEMENT
— millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA #June182015 #5 Ali Kiba na Jacqueline Mengi watangazwa leo kuwa Mabalozi wa Wanyama kuongoza vita dhidi ya Ujangili. — millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA June18 #4 ‘Tuna changamoto 4 tu TZ, Uchumi usiozalisha ajira, huduma duni za kijamii, Rushwa na Nyufa za Udini/ukabila” – Zitto
— millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA #June182015 #3 Waziri Nyalandu >> ‘Ripoti ya gari langu kukamatwa kwa kuua Wanyama iliandikwa na mzushi kuliko watu wote duniani’ — millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA #June182015 #2 Ben Pol >>> ‘Tulikua 11 kwenye Boti iliyozama, ilikua saa 11 tukitokea kisiwa cha Mbudya, Mungu alitunusuru’
— millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
#AMPLIFAYA#June182015 #1 @IamBenPol >>> ‘Hatukujua boti ingezama, ilianza kuingia maji jamaa wakawa wanayatoa, Life Jacket ndio ikaniokoa’
— millard ayo (@millardayo) June 18, 2015
millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben kwa ajili ya kujua taarifa zaidi kwenye ajali waliyoipata jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.