Dj Neptune ameachia video yake mpya ‘So Nice’ ndani akiwa amewashirikisha Davido pamoja na Del B.
Video ya ngoma hiyo imefanyika Lagos, Nigeria na imeandaliwa na Mex Film.
Nakukaribisha hapa kuitazama.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos