November 30, 2015 taarifa kutokea Ikulu zilisema kwamba Rais John Pombe Magufuli aliamuru kwamba fedha ambazo zilitengwa kwa ajili ya kugharamia sherehe za siku ya Uhuru December 09 2015 ambazo ni Bilioni nne, zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco iliyopo Dar es salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia za barabara za lami.
ripota wa millardayo.com ametembelea maeneo hayo leo Dec 11, 2015 na kukuta hatua inayoendelea hadi sasa ambapo hizi ndio picha kutokea Mwenge hadi Morocco.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE