Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time usijali millardayo.com imekurekodia habari 9 za May 3 2016 kupitia TV za Tanzania.
Habari kutoka ITV…Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
Serikali yasema iko tayari kukaa na wadau wa sekta ya habari, Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari dunia imekuja na kauli mbiu ambayo inasema ‘kupata habari ni haki yako idai‘.
Habari kutoka ITV…Athari za Mafuriko Kilombero
Waathika waomba Serikali kujenga tuta la mto Rumemo ……>>>’Kifupi naomba Serikali itusaidie pale mto unapoziba kwasababu hapa kwenye haya mazingira yetu tulishayazoea, kwahiyo Serikali wakituamisha kwenda sehemu nyingine tutakwazika‘ :-Mkazi
Habari kutoka TBC1…Waadishi wa Habari Wakumbusha Ujenzi wa Kituo cha Polisi
>>>Kwabahati nzuri nataka niwaambie wanachi kuwa hiki kituo cha Polisi kiko njiani kujengwa yaani niwatoe wasiwasi kabisa kuhusiana na ujenzi wa kituo hiki maana tayari Polisi wameshapewa ramani ya jengo hili’:–Mwakilishi wa Kampuni ya Dangote
Habari kutoka Channel Ten…Kesi ya Kitlya na Wenzake
Hakimu Mchahuru anayesikiliza shauri hilo amesema amepokea taarifa kutoka kwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Kanda Ya Dar es salaam kuwa washtakiwa wanatakiwa kufika Mahakama Kuu, Hakimu Mchahuru amesema washitakiwa na mawakili wao hawana budi kufika Mahamani hapo;-Mwandishi wa Habari
Habari kutoka Channel 10…Mgogoro Hospitali ya Amana
Tukio hilo limetokea Siku ya Ijumaa saa 4 usiku baada ya majambazi kumpiga risasi dereva wa bodaboda na kufanikiwa kumnyang’anya bodaboda yake…. ‘Wakati tunaingia hospitali ya Amana mwenzangu alienda kuchukua kadi baada ya mwenzangu kutoka nje ndio akaniambia kuwa amenyimwa kadi mpaka atoa fedha‘:-Shuhuda
Habari kutoka Star TV...Mwekezaji Kunyang’anya Ardhi
Wakazi Eshkeshi Manyara wapinga, naye Mkuu wa Mkoa wa Manyara ameandaa timu itakayoenda katika Kijiji cha Eshkeshi ili kufuatilia tukio hilo…..>>> ‘Timu hii itaenda kule hata ikikaa siku mbili lakini lazima ijue ardhi hiyo imetolewa kwa halali‘ :- Joel Bendera Mkuu wa Mkoa wa Manyara
Habari kutoka Azam TWO…Kwanini nini Bajeti Ndogo Kilimo
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIIKOSA HII YA DALADALA KUANZA KUPITISHA ABIRIA DARAJA LA KIGAMBONI? UNAWEZA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI…