Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora iliyokuwa inasikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila imetoa hukumu ambapo David Kafulila ameshindwa kwenye kesi hiyo dhidi ya Mbunge Kigoma kusini, Hasna Mwilima ‘CCM’.
Kesi ilikuwa chini ya Jaji Ferdinand Wambari na Katika kesi hii upande wa mlalamikaji (Kafulila) uliongozwa na mawakili Prof. Abdallah Safari, Tundu Lissu na Daniel Lumenyera na upande wa mlalamikiwa (Husna) uliongozwa na wakili Kennedy Fungamtama pamoja na Mawakili wa Serikali upande wa mwanasheria mkuu wa Serikali.
#MillardAyoUPDATES Mbunge Kigoma Kusini, Hasna Mwilima 'CCM' ashinda kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na Kafulila 'NCCR' Mahakama Kuu Tabora
— millardayo (@millardayo) May 17, 2016
ULIKOSA MANENO YA GODBLESS LEMA NA ESTHER BULAYA BAADA YA HOTUBA YA UPINZANI KUKATALIWA BUNGENI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE