Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni mbunge wa Kwela Ignasi Malocha alimuuliza Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo kama kuna ukweli wowote kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kugundulika kwa gesi mpya aina ya helium nchini.
Waziri Muhongo amesema…>>’Ukweli ni kwamba utafiti umefanywa na vyuo vinavyotambulika duniani, kilichogundulika ni katika ziwa Rukwa na baada ya ni metrick bilion 44.2 na hizo ni taarifa za uhakika‘
Unaweza kuupata mwendelezo wote kwenye hii video…
WABUNGE WAWILI CHADEMA WASIMAMISHWA KUHUDHURIA VIKAO KWA KULIDANGANYA BUNGE
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE