Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya habari kubwa iliyoandikwa kwenye magazeti ya August 15 2016 ni hii kutoka gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘JKCI yafanya upasuaji mwingine wa moyo‘
Taasisi ya Tiba ya moyo ya Jakaya Kikwete ‘JKCI’, imefanya upasuaji mwingine wa kihistoria kwa kuweka mashine mbili tofauti katika moyo uliochoka.
#MTANZANIA JKCI imefanya upasuaji mwingine wa kihistoria kwa kuweka mashine mbili tofauti ktk moyo uliochoka pic.twitter.com/1SEZnPzGTx
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
Mashine hizo zimewekwa katika moyo wa mwanaume mwenye umri wa miaka 68, ili kuusadia uweze kufanya kazi sawasawa. Upasuaji huo umefanywa chini ya madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa JKCI wakishirikiana na wenzao wa kutoka nchini China.
Source: MTANZANIA
Unaweza kuzipitia hapa habari nyingine kubwa za magazeti ya leo August 15 2016
#NIPASHE Spika wa bunge, Job Ndugai asema sakata la Lugumi bado halijaisha na litajadiliwa bungeni ktk mkutano ujao pic.twitter.com/0CHuj2ixv9
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#NIPASHE Serikali imesema reli ya kisasa itajengwa kwa miaka mitatu kuanzia December mwaka huu, trilioni 16 kutumika pic.twitter.com/n43D5ns7Ww
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#NIPASHE TRA kufanya uhakiki wa kina wa namba za TIN nchi nzima, lakini kwa kuanzia na mkoa wa Dar es salaam pic.twitter.com/2Hqi4j8Tn1
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#NIPASHE Rais wa zamani Z'bar Jumbe ambaye alifariki jana ameacha wosia akieleza mazishi yake yasifanyike kiserikali pic.twitter.com/5YSRqEsVzw
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MWANANCHI Spika Ndugai apanga kutafufuta maridhiano kuhusu ususiaji vikao bungeni, Mbowe asema ni jambo la kijasiri pic.twitter.com/fJ84hUUFlz
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MWANANCHI ATCL imesema ujio wa ndege zake mpya 2 utaleta mapinduzi makubwa kihuduma na kiutendaji kwa shirika hilo. pic.twitter.com/hxAEmYo2uS
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MWANANCHI UVCCM yaibua ufisadi mkubwa ndani ya jumuiya hiyo hatua iliyopelekea kuwasimamisha kazi baadhi ya vijana pic.twitter.com/Nrz6FqFskq
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MWANANCHI Tanzanite ya bil 7.4 yapigwa mnada uliofanyika kwa siku 4 Arusha huku serikali ikipata mrahaba wa mil 378 pic.twitter.com/y9Kg3tQVSV
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MWANANCHI Ujenzi holela chanzo cha wizi wa umeme Tarime unaosababisha vifo kwa watu na kuikosesha serikali mapato pic.twitter.com/OUIH3kzIJz
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MTANZANIA JKCI imefanya upasuaji mwingine wa kihistoria kwa kuweka mashine mbili tofauti ktk moyo uliochoka pic.twitter.com/1SEZnPzGTx
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MTANZANIA Mbunge wa Tanga Mjini, Mussa Mbaruku 'CUF' akamatwa kwa kufanya mikutano ya hadhara na uchochezi pic.twitter.com/B1rwpYoAV4
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MTANZANIA CUF yamtosa rasmi Lipumba kuwania uenyekiti baada ya kuteuliwa kwa majina ya watu 9 kwa ajili ya kuwania pic.twitter.com/swCrCm3glo
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#HabariLEO Lema aahirisha mkutano wake wa hadhara August 20 kwa vile kibali chake kwa polisi kina masharti magumu pic.twitter.com/bHO2H68naI
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#JamboLEO Spika Ndugai amesema kuna haja ya kufanya mazungumzo ili kupata muafaka kuhusu zuio la mikutano ya hadhara pic.twitter.com/FW6qKfX5Py
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MWANANCHI Polisi K'njaro wamshikilia Diwani wa Naisinyai kwa mahojiano kuhusu mauaji ya kada wa CCM, Mbuki Mollel pic.twitter.com/eUQQBqFDdL
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
#MWANANCHI Hesabu za Yanga kucheza nusu fainali kombe la shirikisho zafutika baada ya Madeama kuilaza TP Mazembe 3-2 pic.twitter.com/vYw39AfiAu
— millardayo (@millardayo) August 15, 2016
ULIKOSA HUU MTAZAMO WA SPIKA NDUGAI KUHUSU CHADEMA KUANDAMANA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI