Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Vijana wazuia gari la jeshi kubeba jeneza la Jumbe badala yake wao ndio watalibeba umbali wa wastani km 3 pic.twitter.com/FrlRSWGSNB
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#MWANANCHI Watatu familia moja wafa usingizini Songea baada ya kudaiwa kuvuta hewa iliyosababishwa na jiko la mkaa pic.twitter.com/qqSF5CWLfo
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#MWANANCHI Serikali imeanzisha mfumo wa kielektroniki kupima na kupanga viwanja ili kupata kodi stahiki pic.twitter.com/zZzGODc9nf
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#MWANANCHI Wapangaji 60 wa nyumba za TBA wapewa notisi ya siku 30 kuhama ili kupisha watumishi watakaohamia Dodoma pic.twitter.com/Nh1AhOFgw9
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#NIPASHE Mshtakiwa kesi ya kusambaza matokeo ya urais ktk mtandao wa NEC bila kuthibitishwa na tume hiyo afariki pic.twitter.com/9bEpUHaSwk
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#NIPASHE Maalim Seif asema wazo la Jumbe kuhusu Serikali 3 lilikuwa muafaka lakini hakushirikisha wenzake wakati huo pic.twitter.com/sKlLFtIUdf
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#NIPASHE Maalim Seif akwepa kusalimiana na Rais wa Z'bar, Dk. Shein kwenye mazishi ya aliyekuwa Rais wa Z'bar, Jumbe pic.twitter.com/KjxIcjCfQg
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#NIPASHE NIDA imeeleza kuwa ifikapo December 31 mwaka huu, watanzania mil 23 watapata vitambulisho vya taifa pic.twitter.com/pUfWZ5sX98
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#MTANZANIA TAKUKURU yaanza uchunguzi dhidi ya kampuni ya Simon group baada ya JPM kuagiza kurejeshwa mali za Nyanza pic.twitter.com/KfXwXspbex
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#JamboLEO Watano akiwemo ofisa JKT wadaiwa kughushi na kurudufu vyeti bandia 690 na kuviuza kwa watu wasio na sifa pic.twitter.com/Hp3UEBPcXE
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#JamboLEO Wakati CHADEMA ikitangaza kuzindua UKUTA Septemba mosi, IGP Mangu asema hajapata taarifa kuhusu suala hilo pic.twitter.com/WSa4AwM0Ge
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#HabariLEO Serikali yaanza kuinadi Dodoma sasa mwekezaji anayetaka ardhi kupewa ndani ya wiki moja pic.twitter.com/SlyM9O3Efv
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#HabariLEO Serikali kuanza usajili wa hoteli, ukaguzi wa mara kwa mara kutokana na uanzishwaji holela wa huduma hiyo pic.twitter.com/2Oo0FVuaHv
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#HabariLEO Eneo lililokuwa limetengwa kujengwa Ikulu ndogo Mbeya limemegwa na kuuzwa, maafisa ardhi watajwa kuhusika pic.twitter.com/lUapBuZEwR
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
#MWANANCHI Yanga waitana kujadili suala la mwenyekiti wao, Yusuf Manji baada ya taarifa kuenea anataka kuachia ngazi pic.twitter.com/CRMDQx2yjY
— millardayo (@millardayo) August 16, 2016
ULIKOSA HII YA MBUNGE SAED KUBENEA KUHOJIWA NA POLISI DSM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI