Bunge la kumi na moja limeendelea tena na katika kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma leo September 9 2016 moja ya swali lililosikika ni pamoja na hili la kutoka kwa mbunge Ulanga Goodluck Mlinga aliyehoji kuhusu mpango wa serikali kuboresha miundombinu ya barabara.
ULIMIS SITA WAMPINGA SPIKA BUNGENI, LOWASSA AITIKISA CUF