Kiwanda cha muziki barani Afrika kimepata pigo baada ya Star wa muziki wa Kwaito kutoka Afrika Kusini, Mduduzi Edmund Tshabalala a.k.a Mandoza kufariki dunia mapema jana September 18 baada ya kuugua ugonjwa Kansa iliyomsumbua kwa zaidi ya miaka miwili, na iliripotiwa kuwa ilikua imeanza kusambaa kwenye ubongo wake, na kumfanya apoteze uwezo wa kuona kabisa.
Tweets za taarifa ya kifo chake kutoka vyombo vya habari vya Afrika kusini na mastaa mbalimbali zimeonesha kuguswa na msiba wa msanii Mandoza…. RIP.
#Mandoza The 38 year Nkalakatha hitmaker lost his battle to cancer earlier today – 2 years after being diagnosed with a brain tumour.
— EWN Reporter (@ewnreporter) September 18, 2016
#Mandoza Family spokesperson has confirmed Mduduzi Tshabalala passed away at around mid day after being taken to hospital this morning. TK
— EWN Reporter (@ewnreporter) September 18, 2016
Former manager Vaughn Eaton says #Mandoza's wife Mpho told him that he experienced trouble breathing and they rushed him to hospital.MK
— EWN Reporter (@ewnreporter) September 18, 2016
#Mandoza Eaton says Mandoza stopped breathing as they got to the hospital gates. He was with his wife at the time. MK
— EWN Reporter (@ewnreporter) September 18, 2016
Celebrities react to Mandoza’s death https://t.co/5slYSUOWum pic.twitter.com/vQuInaEUhV
— The Citizen News (@TheCitizen_News) September 18, 2016
Forever king! Rest in paradise soldier. Love and respect #Mandoza #LegendsLiveForever #Kwaito #KasieKing #Nkalakatha pic.twitter.com/SnCqLiBGGI
— K.O (@MrCashtime) September 18, 2016
Kifo cha Mandoza kimetokea siku tisa baada ya msanii huyo kufanya show yake ya mwisho kabla ya mauti kumkuta, nimekuwekea hapa video mtu wangu.
ULIPITWA NA HII YA MAGOLI YA SERENGETI BOYZ NA CONGO? TAZAMA VIDEO HII