Leo October 8 2016 chama cha ACT Wazalendo kimefanya mkutano mkuu wa kidemokrasia katika ukumbi wa makumbusho ya Taifa Posta Jijini Dar es salaam. Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewasilisha hotuba yake ya ufunguzi na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu hali ya nchi kwa mtazamo wa chama, Zitto ameyasema haya……
'Ujenzi wa nchi ni endelevu ni km nyumba kwa hiyo kila kizazi kinatakiwa kupandisha tofali'-@zittokabwe #Mkutanomkuuwakidemokrasia #ACT pic.twitter.com/wxJJaCnR29
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
'Sisi kama chama tunaamini kwamba siasa ni maendeleo'-Zitto #MkutanomkuuwaKidemokrasia #ACT wazalendo pic.twitter.com/0tWdpcVlf5
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
'Vita dhidi ya rushwa lazima izingatie haki utu na usawa'-Zitto #MkutanomkuuwaKidemokrasia #ACT Wazalendo pic.twitter.com/wktssu93I9
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
'Tunamkumbusha Rais kuwa kuna viporo vya ufisadi ambavyo inabidi havishughulikie kama Tegeta Escrow'-Zitto#MkutanomkuuwaKidemokrasia #ACT pic.twitter.com/DguyGzc3fk
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
'Hali ya nchi yetu ni mbaya kwa sababu ajira hazitengenezwi, zinapungua'-Zitto #MkutanomkuuwaKidemokrasia #ACT Wazalendo pic.twitter.com/kGzPII09UG
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
'Ujinga una gharama, matukio yaliyojitokeza hivi karibuni kama kuchoma watu moto ni tunda la ujinga'-Zitto #MkutanomkuuwaKidemokrasia #ACT pic.twitter.com/8msdeoj9eu
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
'Hatua nyingi zilizochukuliwa na serikali zinalenga kuongeza idadi lakini si kuboresha ubora wa elimu-Zitto #MkutanomkuuwaKidemokrasia #ACT pic.twitter.com/uZCYTHcfHO
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
'Watanzania wengi hawamudu lugha ya kiingereza katika kujifunza na hii imekuwa ni kikwazo'-Zitto #MkutanomkuuwaKidemokrasia #ACT Wazalendo pic.twitter.com/pyl5eIVzBo
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
'Sisi kama chama tutaunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ktk kupambana na ufisadi' -Zitto #MkutanomkuuwaKidemokrasia #ACT pic.twitter.com/12E8k2LkGh
— millardayo (@millardayo) October 8, 2016
ULIKOSA HII YA ZITTO KABWE AKIELEZA KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI