Adama Barrow ambaye ni mwanasiasa wa upinzani ambaye inaaminika ndie mshindi wa uchaguzi wa Urais Gambia ameapishwa kuwa Rais wa Gambia japokua uapisho wake umefanyika nje ya taifa hilo.
Uapisho umefanyika Senegal kwenye ubalozi wa Gambia ambapo raia wengi wa Gambia wanaofanya kazi Senegal wamehudhuria kuapishwa kwa Adama na hiyo imetokana na kugoma kuoachia madaraka kwa Rais Yahya Jameh na kutangaza hali ya hatari.
Adama Barrow ameapishwa rasmi kuwa Rais mpya wa Gambia, shughuli nzima imefanyika nchini Senegal kwenye ubalozi wa Gambia. pic.twitter.com/0qou1NryGB
— millardayo (@millardayo) January 19, 2017
ULIPITWA? Tazama kwenye hii video hapa chini Makomando wa Tanzania wakionyesha uwezo wao mbele ya Rais Magufuli