Tuzo za OSCARS ni kati ya tuzo zenye heshima kubwa duniani, na mtaani huwa wanasema kama movie haijatajwa hata kwenye kuwania tu tuzo hii ni jibu tosha kwamba bado haijafikia viwango vya kimataifa, sasa tukiachia hayo January 24, 2017 waandaaji wa tuzo hizo wametangaza list ya mastaa na movie zinazowania tuzo hii.
Majina ya wanaowania tuzo hizi zikiwa ni msimu wake wa 89 yametangazwa leo asubuhi, movie ya La La Land ndio imeongoza kwa kutajwa kuwania tuzo 14 na kuweka rekodi ya kipekee.
Tuzo hizi pia hujumuisha mastaa wa muziki wanaocheza movie na kuandika ngoma zinazotumika kama soundtrack za movie au series ambapo Mastaa waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Jennifer Hudson, Brie Larson, Emmanuel Lubezki, Jason Reitman na Ken Watanabe.
Sherehe za utoaji tuzo hizi zitafanyika kwenye ukumbi wa Dolby Theatre ulioko Hollywood mnamo February 26, 2017 na zitaongozwa na mshereheshaji Jimmy Kimmel. hii ni mara ya kwanza kwa MC huyu kuhost tuzo za Oscars, japokuwa ameshahost tuzo kubwa ikiwemo mwaka 2012 na 2016 alikuwa host wa Emmy Awards.
Nimekuwekea hapa full list ya nominees wa Oscars Awards 2017
BEST ACTOR
Casey Affleck (Manchester by the Sea)
Andrew Garfield (Hacksaw Ridge)
Ryan Gosling (La La Land)
Viggo Mortensen (Captain Fantastic)
Denzel Washington (Fences)
BEST DIRECTOR
Arrival — Denis Villeneuve
Hacksaw Ridge — Mel Gibson
La La Land — Damien Chazelle
Manchester by the Sea — Kenneth Lonergan
Moonlight — Barry Jenkins
BEST PICTURE
Arrival
Fences
Hacksaw Ridge
Hell or High Water
Hidden Figures
La La Land
Lion
Manchester By the Sea
Moonlight
BEST ACTRESS
Isabelle Huppert (Elle)
Ruth Negga (Loving)
Emma Stone (La La Land)
Natalie Portman (Jackie)
Meryl Streep (Florence Foster Jenkins)
BEST SUPPORTING ACTOR
Mahershala Ali (Moonlight)
Jeff Bridges (Hell or High Water)
Lucas Hedges (Manchester by the Sea)
Dev Patel (Lion)
Michael Shannon (Nocturnal Animals)
BEST SUPPORTING ACTRESS
Viola Davis (Fences)
Naomie Harris (Moonlight)
Nicole Kidman (Lion)
Octavia Spencer (Hidden Figures)
Michelle Williams (Manchester by the Sea)
BEST ORIGINAL SCREENPLAY
Hell or High Water (Taylor Sheridan)
La La Land (Damien Chazelle)
The Lobster (Yorgos Lanthimos, Efthymis Filippou)
Manchester by the Sea (Kenneth Lonergan)
20th Century Women (Mike Mills)
BEST ADAPTED SCREENPLAY
Arrival (Eric Heisserer)
Fences (August Wilson)
Hidden Figures (Allison Schroeder, Theodore Melfi)
Lion (Luke Davies)
Moonlight (Barry Jenkins, Tarell Alvin McRaney)
BEST FOREIGN LANGUAGE
Land of Mine
A Man Called Ove
The Salesman
Tanna
Toni Erdmann
BEST DOCUMENTARY
Fire at Sea
I Am Not Your Negro
Life, Animated
O.J.: Made in America
13th
BEST ANIMATED FILM
Kubo and the Two Strings (Focus Features)
Moana (Disney)
My Life As a Zucchini (GKIDS)
The Red Turtle (Sony Classics)
Zootopia (Disney)
BEST ANIMATED SHORT
Blind Vaysha (National Film Board of Canada)
Borrowed Time (Quorum Films)
Pear Cider and Cigarettes (Massive Swerve Studios and Passion Pictures Animation)
Pearl (Google Spotlight Stories/Evil Eye Pictures)
Piper (Pixar)
BEST CINEMATOGRAPHY
Arrival (Bradford Young)
La La Land (Linus Sandgren)
Lion (Grieg Fraser)
Moonlight (James Laxton)
Silence (Rodrigo Prieto)
BEST ORIGINAL SCORE
Jackie (Mica Levi)
La La Land (Justin Hurwitz)
Lion (Dustin O’Halloran, Hauschka)
Moonlight (Nicholas Britell)
Passengers (Thomas Newman)
BEST COSTUME DESIGN
Allied (Joanna Johnston)
Fantastic Beasts and Where to Find Them (Colleen Atwood)
Florence Foster Jenkins (Consolata Boyle)
Jackie (Madeline Fontaine)
La La Land (Mary Zophres)
BEST SOUND EDITING
Arrival
Deepwater Horizon
Hacksaw Ridge
La La Land
Sully
BEST SOUND MIXING
Arrival
Hacksaw Ridge
La La Land
Rogue One: A Star Wars Story
13 Hours
BEST PRODUCTION DESIGN
Arrival (Patrice Vermette)
Fantastic Beasts and Where to Find Them (Stuart Craig)
Hail Caesar
La La Land (Sandy Reynolds-Wasco, David Wasco)
Passengers (Guy Hendrix Dyas)
BEST ORIGINAL SONG
“Audition” (La La Land)
“Can’t Stop the Feeling!” (Trolls)
“City of Stars” (La La Land)
“The Empty Chair” (Jim: The James Foley Story)
“How Far I’ll Go” (Moana)
ULIPITWA? Kipisi cha bongomovie…. Mume kaenda kazini, Wife kaleta mchepuko nyumbani…. tazama kwenye hii video hapa chini