Msanii Kitale amenaswa leo february 23 kwenye U-heard ya Soudy Brouwn ambapo amewachana Madee na Nay wa Mitego kuwa waache waache kujiita marais wa Manzese wakati Kimara……..
>>>”Ney wa mitego anakaa Kimara na Madeee anakaa kimara ndani kabisa, wanaongopea watu wa Mazese, wakiona tu wanataka kutoa nyimbo lazima watafute kiki zisizo kuwa na maana, mtu kama Nay kila siku akitaka kutoa nyimbo anazungumzia Bongo Muvie tu, Madee akitaka kutoa nyimbo mara utasikia kagombana na mtu Uingereza”
Kwa upande wake Nay wa mitego ameyasema haya……>>> Mimi hivyo vitu sivijui ninachojua nafanya muziki wangu na watu wangu, hao watu wengine wakiongea wanajua wenyewe, labda kaona Movie haziuzi kaona aje huku mwambie atoe single”
Kusikiliza Full story, Bonyeza play hapa chini
Ulipitwa na MAJIBU: Snura vs Madee… baada ya Madee kusema hajaona cha ajabu chura kupostiwa
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo