Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Maghembe amekanusha taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kwamba alivamiwa na wananchi wenye silaha za jadi wakati akienda wilayani Loliondo. Maghembe amesema Kamati ya Maliasili ndio iliyokutana na wananchi wakiwa na mabango. Bonyeza play hapa chini kumsikiliza
VIDEO: Makubaliano ya TPDC na Dangote kuhusu gesi asilia, Bonyeza play hapa chini kutazama