Siku moja baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kutegua kitendawili cha mzozo wa point 3 zilizokuwa zinawaniwa na Simba na Kagera Sugar baada ya Simba kufungwa April 2 kwa magoli 2-1 na baadae kukata rufaa kwa madai ya Kagera kumtumia mchezaji Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano kinyume na taratibu.
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa leo ametoa ushauri kwa shirikisho la soka Tanzania TFF kuhusiana na kanuni iliyopo ya timu ambayo inamchezesha mchezaji aliyekuwa na kadi tatu za njano kunyan’ganywa point 3 na kupewa mpinzani wake, Mkwasa ametoa ushauri kuhusu kipengele hicho.
VIDEO: Game haikuoneshwa Yanga vs MC Alger, nimeyanasa matukio na goli la Yanga FT 1-0