Moja ya habari iliyonifikia wakati huu ni kuhusu Wanachama Chama cha Wananchi CUF wanaodaiwa kumuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad na wanaodaiwa kumuunga mkono Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba wamepigana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.
#BREAKING: Wafuasia wa CUF wanaomuunga mkono Maalim Seif na wale wanaomuunga mkono Prof. Lipumba wamepigana Mahakama Kuu ya Tanzania DSM leo pic.twitter.com/42uuSr3X0U
— millardayo (@millardayo) August 4, 2017
ULIPITWA? Tamko la BAWACHA kuhusu hali ya kiuchumi Tanzania…tazama kila kitu kwenye video hii!