Breaking News

BREAKING NEWS: Wanachama wa CUF wamepigana Mahakama Kuu leo

on

Moja ya habari iliyonifikia wakati huu ni kuhusu Wanachama Chama cha Wananchi CUF wanaodaiwa kumuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad na wanaodaiwa kumuunga mkono Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba wamepigana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

ULIPITWA? Tamko la BAWACHA kuhusu hali ya kiuchumi Tanzania…tazama kila kitu kwenye video hii!

Tupia Comments